samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Naona wanakamia sana hawa mechi zingine wanakuwa mdebwedooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujuma hizooo kwa nini hawachezi kilaini laini?Tff wanaionea sana yangaNaona wanakamia sana hawa mechi zingine wanakuwa mdebwedooo
Dakika ngapi katolewa ,iwe unatumia akiliUtopolo wanakuambia kwamba wao ni team ya vijana, mamamaeeee mmecheza na watu kumi imekuwaje? uto kam auto utopolooooooo
Mwambieni kingwa aje awasaidieNaona wanakamia sana hawa mechi zingine wanakuwa mdebwedooo
Ungewapa red woteNaona wanakamia sana hawa mechi zingine wanakuwa mdebwedooo
dakika 13 haziwatoshi kufunga goli team ya vijana?Dakika ngapi katolewa ,iwe unatumia akili
Dakika ngapi katolewa ,iwe unatumia akili
Jinga hilo, usipoteze nguvu zakoDakika ngapi katolewa ,iwe unatumia akili
Pole sana mkuuJinga hilo, usipoteze nguvu zako