Taratibu zifatwe piga nyundo kenge haoTimu ya Tanzania Prisons imepewa ushindi wa alama tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike February 11, 2020 baada ya timu ya Ruvu Shooting ambao ni wenyeji wa mchezo kushindwa kuleta gari la wagonjwa (Ambulance) uwanjani.
Taarifa iliyotolewa leo na Shirikisho la soka la TFF imeeleza kuwa uamuzi huo ni kwa mujibu wa kanuni ya 14 (2|) jambo lililosababisha mchezo kuvunjwa na mwamuzi baada ya kusubiri dakika 30 bila gari hilo kutokea.
Mchezo huo ulikuwa wa ligi kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL), namba 205, kati ya Tanzania Prisons FC na Ruvu Shooting.View attachment 1357589
Ndio kwanza matatu mkuu nasubiri timu nyingine ipewe ushindi wa mezani nikachukue magoli yanguHongera sana mkuu kwa kupiga Hat-Trick, hivi una mabao mangapi mpaka sasa VPL?
Genge la wahuni hao team gani ata uwanja wa mazoezi hamna..Haki Gongowazi wanatamani wangepewa wao ushindi wa mezani wa alama tatu dhidi ya Mbeya City, si kwa malalamiko yale[emoji23][emoji23]
Atakua nayo matatu mkuu wakati anasubiri jamaa wengine wazingue afunge tena kupitia TFF[emoji3][emoji3].Hongera sana mkuu kwa kupiga Hat-Trick, hivi una mabao mangapi mpaka sasa VPL?
Tulaumu kanuni. Tulaumu bodi ya ligi iliyotekwa na TFF.
Na ntafunga sana tu, maana timu itakayotaka kupanga tokeo hawaleti ambulance uwanjani refa anafuta game mimi naenda kuchukua magoli wengine wachukue pointAtakua nayo matatu mkuu wakati anasubiri jamaa wengine wazingue afunge tena kupitia TFF[emoji3][emoji3].
macson