Usione Simba yupo juu ujue anapakatwa na tff.Hivi sisi Yanga chance kama hizi zinatupitaje kushoto? Bila fursa kama hizi tutamtoa kweli Simba pale juu ya msimamo?
Ukitaka kujua Yanga hajawai kubebwa angalia mechi zake za kimataifa kipindi cha Malinzi, hakuwai kubugizwa goli kumi kwa mechi mbili. Simba inabebwa alafu kwenye mashindano ya vilabu inapigwa tanotano. Kwa sasa namuona MO akienda kufilisika ndani ya miaka mitatu ijayo kwa kuendelea kuhonga au anakwenda kuachana na kujihusisha na mpira wa miguu mojakwa moja.Kama alivyokuwa akipakatwa Yanga na Tff ya Malinzi, ngoma droo..!
Haya kimataifa mlifika wapi, na Simba SC walifika wapi msimu huo ili wadau wapime?Ukitaka kujua Yanga hajawai kubebwa angalia mechi zake za kimataifa kipindi cha Malinzi, hakuwai kubugizwa goli kumi kwa mechi mbili. Simba inabebwa alafu kwenye mashindano ya vilabu inapigwa tanotano. Kwa sasa namuona MO akienda kufilisika ndani ya miaka mitatu ijayo kwa kuendelea kuhonga au anakwenda kuachana na kujihusisha na mpira wa miguu mojakwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri vyura wanajua hizo hesabu?Haya kimataifa mlifika wapi, na Simba SC walifika wapi msimu huo ili wadau wapime?
Duh. Hapa walizingua hizo si dk za nyongeza kbsAlichosema Masau Bwire akihojiwa na radio moja nchini;
"Ambulance ilikuwepo, lakini dakika chache kabla mchezo kuanza iliondoka kwenda kumbeba mgonjwa na kumpeleka Hospitali ya Lugalo ambapo ilirudi tena uwanjani saa 10: 34".
Ikiwa ni dakika 4 baada kusubiriwa 30 kwa mujibu wa kanuni, ambapo mwamuzi alivyunja mchezo.
Bwana Makongoro.Hayo magoli wahesabie mimi ndio nimefunga" hat trik" Woyeeeee