Prius/Aqua Forum Tanzania

Prius/Aqua Forum Tanzania

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Wananzengo za asubuhi. Wale tunaomiliki Prius/ Aqua tujuane.

Tuambiane na kusaidiana changamoto za mazuri kwenye gari zetu kwa wanaomiliki na kuwapa hamasa ambao bado hawajamiliki wakaribie wafurahie 20km/l

Tutafungua telegram chanel yetu kwa watakao kuwa interested waje inbox ni wa add
 
Screenshot_2024-08-29-08-06-02-03_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Back
Top Bottom