Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Hii ishu ya magari ya hybrid kushtuka mara Kwa mara Zina ukweli?
Hasa gari inavyobadili mfumo wa mafuta na kwenye umeme
dsmUko mkoa gan mkuu
Huo mshtuko una athari yoyote ile?Sio sana, ni smooth sio smooth sana.
Ungeweka link ingependeza zanaHybrid owners mje inbox niku add.