Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Huyu na komwe lake anawaabisha sana warombo wenzake kwa kale katabia kake kachafu
 
Haya ndio matatizo ya akili yanayoimbwa kila kukicha hapa nchini.

Yaani mtu kama prv ambaye mi naamin angalau kidogo mpira wetu kivyetu vyetu anaujua ndiye analopoka kiasi hiki?

Kwamba hajui kama hii sio sherehe bali utamaduni wa simba?

Kwamba hajui kua tamasha hili lilianza hata kabala hajamaliza shule na alikuwa analisikia kila mwqka bila kujali mafanikio.

Kwamba hajui kuwa hata mwajiri wake wa sasa alifanya tamasha kwa miaka minme mfululizi bila kuonyesha chochote

AKAPAIME AFYA YAKE KWANZA
 
Kweli wenye akili Yanga 2 tu,,

Unamaanisha hata kama hujafanya Jambo lolote la maendeleo kwa mwaka mzima, hutakiwi kusheherekea BIRTHDAY YAKO SIO?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatuongelei historia

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo maandalizi ya msimu mpya yanahusiana nini na kombe? Basi hata ndoa zifanyike zikiwa na watoto tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…