Privaldinho umeteleza kumsifia Mwigulu kwa kumfananisha na hayati Silvio Berlusconi

Amefanya makubwa sana ktk mpira, mambo ya siasa ni kuyaweka kando kama FIFA watakavyo "maji na mafuta"
 
Tanzania hakuna kiongozi wa CCM kuwa na kashfa japo mabilioni ya fedha zetu huwa zinapigwa kila mwaka, hii ni kulingana na ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali, Tanzania ni nchi pekee dunia yenye mawaziri na marais waaminifu kushinda viongozi wote wa dini.
 
Ama kweli CCM ni janga la kudumu nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…