Private candidate: Ana c tatu (english na kiswahili na civics) nishaurini aende wapi?

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
Wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata C tatu, english, kiswahili na civics

nikisema aende A level combination inakataa maana kapata F ya history

Karibuni
 
Wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata C tatu, english, kiswahili na civics

nikisema aende A level combination inakataa maana kapata F ya history

Karibuni


Arudie tu....hakuna short cut
 
anapata shule huyo but private kwa hiyo hiyo HKL na F yake zipo private zinazokubali,,,criteria ya mtu kufanya pepa ya form 6 ni mtu awe na credits 3 za o-level haiangalii combination yako ulipataje grades,,,tumesoma na watu waliokuwa na F's kwenye moja ya masombo kwenye combinations n still wakaja kufanya vizuri mitihani ya form 6 na sasa hivi wako chuo,,,ingawa anatakiwa akaze sana
 
Kwani mbona amefaulu vizuri sana,ingawa siku hizi sijui kama mfumo wa kujiunga na form V umebadilika ila nijuavyo mm ili uweze kufanya mitihani ya form 6 ya NECTA sharti uwe na C pass tatu kwenye matokeo ya form 4,sasa huyo ana sifa zote za kujiunga na private school katika combination yoyote ya sanaa,kama mfumo haujabadilka basi aunge tu A level
 
Naunga mkono kabisa wazo la mhusika kwenda A level na pia kujiandaa na kurudia mtihani wa Historia.

Ila wakati anajiandaa kurudia kufanya mtihani huo ajitahidi kujifunza kujibu maswali kiundani na kujiamini kuandika kiingereza kwa ufasaha.

Kama anataka combinations za arts basi akiwa form five asome HGE au HGL au HKL kama ipo, ikizingatiwa amefaulu pia Geography.
 
hakuna haja ya kurudia, sifa mbona anazo. Ili uwe na sifa kufanya mtihani form 6 lazima uwe na C tatu. Sasa mbona zipo. Serikalini hapati ila private anapata.
 
Combination CBG inaruhusu kusomea medicine chuo kikuu au lazima PCB?
 
Wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata C tatu, english, kiswahili na civics

nikisema aende A level combination inakataa maana kapata F ya history

Karibuni

Aende diploma ya ualimu. Imekuaje mpaka amefeli somo la historia? Mzembe sana huyo ndugu yako. Mwambie aongeze bidii kwenye masomo yake. Aachane kabisa na tabia za kuangalia TV na kusoma magazeti ya udaku.

 
hoo! pole sana mwambie arudie au aende shule za watu binafsi watampokea tu kule na ataendelea vyema, ila kama utapenda mpeleke chuo akasomee fani yeyote aipendayo

kila kheri my dia
 
wewe nawe hujui kumtia mtu moyo yaani majibu gani hayo unayojibu si umwambie vyema ili aelewe na aridhike basi haa! usiwe hivyo bhana mtie moyo mwenzio kwani amechanganyikiwa anataka amsaidie ndugu yake isi kiivyo, sisi huku lofisiini kwetu bosi wetu mtoto wake amefeli akamfokea sana leo hii naandika hapa katoroka home na hajui aliko, yani bosi wetu kachanganyikiwa ile mbaya mpaka anajuta kwanini alimfokea mtoto wake kiasi kile, sasa wewe mwambie kiungwana na mjibu vyema basi jamani
Arudie tu....hakuna short cut
 

Mbona nimeandika kawaida kabisa....sijakandamiza wala kufanya sugar coating....
 
wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata c tatu, english, kiswahili na civics

nikisema aende a level combination inakataa maana kapata f ya history

karibuni

karibu itende high school, mbeya-atapokelewa na hizo c-3, combination hkl au hata hgk. Wasiliana nasi (0754-734009), unaweza pitia thread imo humu ya leo!
 
Aendee shule za private kusoma advanc level......ila kwa jins watu walivyofeli nina uhakika mkubwa atapata tu post ya shul za serikali kwenda kusoma na kuendelea kwa level ya advanc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…