MY name is kitomai. I am a private car salesman cum private property salesman who resides in Dar es Salaam . My duty is to help people sell or buy vehicles or immovable property i.e plots, houses,etc in the city.If you are in need to sell or buy a car, a house or rent a house buy through me or suggest it to your friends or relatives to buy through me. If they buy through your referral, I will share with you the commission have been paid to me. Contact me through this no. 0717114409.When reply, you can use Kiswahili language as well. Thank you.
Mode ni kweli kabisa kwamba umeruhusu JF kuwa ukurasa wa matangazo ya biashara?AU ndo upashanaji habari wenyewe?Nachelea kuamini endapo JF itaruhusu hali kama hii basi lengo halisi la kuanzishwa kwake litakuwa limebadilika.Hebu fikiri katika hali ya kawaida kila mchangiaji ndani ya Forum akatoka na katangazo kake,Nauza viatu,Nauza computer,nanunua vipuri vichakavu nk?????Itakuwaje????

BWT....post yako ilitakiwa upeleke kny complaints bro!
A kompleni kitu gani anawafanya walioanzisha jukwaa la matangazo machizi, yeye ndio inabidi nika bonyeze kale kakitufe ka kuripoti posti yake kwa kuwadharirisha mods.
Biashara yangu ni ya hakika.
Mr Kiroroma.Mode ni kweli kabisa kwamba umeruhusu JF kuwa ukurasa wa matangazo ya biashara?AU ndo upashanaji habari wenyewe?Nachelea kuamini endapo JF itaruhusu hali kama hii basi lengo halisi la kuanzishwa kwake litakuwa limebadilika.Hebu fikiri katika hali ya kawaida kila mchangiaji ndani ya Forum akatoka na katangazo kake,Nauza viatu,Nauza computer,nanunua vipuri vichakavu nk?????Itakuwaje????