Private Finance Initiatives (Literally PPP) Can Cost the Taxpayer More, says TfL

Private Finance Initiatives (Literally PPP) Can Cost the Taxpayer More, says TfL

Entareyehirungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2006
Posts
488
Reaction score
471
Maoni Binafsi:
Wengi hawajui kinachowasubiri mbeleni. Wangejua leo, Dar ingekuwa makazi rasmi na ngome ya upinzani. Sijui kama ni vema kuwaacha waendelee kutojua mpaka pale watakapojua kwa ghalama na wakiwa wamechelewa au ni uungwana kuwaamsha?!

Maisha yajayo mbeleni kidogo almanusura hata kupumua kutalipiwa. Hakutakuwa na Public Goods wala Public Services. Kodi yetu pekee ndo itakuwa Public Good lakini haitakusanywa ili kutuletea Public Service yoyote sisi walipaji. Inawezekana linalojaribiwa kusemwa likaeleweka kwa urahisi iwapo msomaji ataweza kusoma makala ifuatayo toka The Guardian na kuelewa.

Namuomba Mungu niwepo walau 2018 na JF servers ziwe bado zinatunza uzi huu ili turejee kujifunza kwa matokeo ya makosa yetu wenyewe. Njia ambayo ni aghali zaidi maishani!
Mfano-wa-Kituo-Kikubwa-cha-Mabasi-ya-Mradi-wa-Usafiri-wa-Haraka-Dar-es-Salaam-DART1.jpg

Mchoro wa Usafiri Uendao Kasi-Dar, Tanzania

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Transport for London warns against PFI deal for Crossrail.


Private finance initiatives can cost the taxpayer more, says TfL, which wants state funding to buy Crossrail trains
Crossrail-station-Canary--007.jpg


Transport for London does not want to use PFI funding for the Crossrail trains contract. Above, planned Crossrail station at Canary Wharf. Photograph: Crossrail/PA

Boris Johnson's Transport for London (TfL) authority has warned that funding the £1bn Crossrail trains contract through a private finance initiative "does not represent sufficient value" for the taxpayer, as the London mayor pushes for a state-funded deal.

A confidential memo by TfL officials, drawing on the experience of the £30bn public-private partnership to upgrade the tube network, argues that altering PFI contracts can be "complicated and expensive". TfL wants to raise its debt ceiling and acquire the carriages directly &#8211; an idea that has met resistance from the Department for Transport (DfT) and the Treasury, which must OK such a move.

PFI deals are potentially more expensive for the taxpayer because privately raised debt costs more than borrowings backed by the state's AAA credit rating.

The memo rejects the argument that the PFI "premium" is worth paying because it transfers risk away from the taxpayer to the private sector, which has to raise the debt.

"The recent financial crisis has resulted in a significant widening of the gap between the cost of finance under a private-financed concession compared with the public sector," it states, pointing to a Treasury select committee report that found PFIs can add up to 70% to the cost of a project.

"It is TfL's view that this level of 'premium' does not represent sufficient value for the Crossrail rolling stock and depot, and that the benefits that do arise from private finance could also be achieved through a disciplined, wholly public procurement."

The memo raises the pressure on the DfT, after ministers pledged that the next train supply contest will put British contenders on an "equal footing" with their European counterparts, after Siemens of Germany was preferred bidder for the £1.4bn Thameslink carriages contract.

TfL's debt burden of £6.4bn is constrained by the DfT. Under the terms of its settlement with the DfT in the public spending review, TfL cannot increase its borrowings by more than £1.9bn by 2015.

Tony Travers, director of the Greater London group at the London School of Economics, said TfL's reference to a "disciplined" publicly funded deal raised the ghost of the Jubilee line extension, which opened over budget and behind schedule in 1999 and was overseen by London Underground, which spent £3.4bn on the project.

"The word 'disciplined' ... is conceding that there used to be a problem," he said, adding that a publicly funded procurement could benefit Bombardier, owner of Britain's last remaining train factory, because it will not have to provide guarantees on private financing.

Industry sources believe that inferior financial heft contributed to Bombardier losing out as preferred bidder for the Thameslink contract, forcing the manufacturer to announce plans to cut more than 1,400 jobs at its Derby factory.


CC: Maxence Melo, ZeMarcopolo, Mzito Kabwela, John Mnyika, HAMY-D, Ben Saanane, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, Kitila Mkumbo, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Kagasheki
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mleta uzi labda nichangie kwa mtizamo wangu,
Nimeona hapo ume forecast kwenye mwaka 2018 kuona matokeo yatakayotupata, ila huu mfumo wa Public Private Partnership na terms za financing kwenye long term investment kama miundombinu, especialy railways au barabara uko more favourable kwenye growing economies kuliko saturated economies ambazo ni fragile. Sisi impact tutaipata ila sio kwa makali yale wanayoyapata walipa kodi wa ulaya.
 
Mwanahisa,
Asante kwa kuchangia mada na kutoa maoni yako. Kuhusiana na ghalama; nini mtazamo wako juu ya saturated economy yenye cheap capital (small interest rate) dhidi ya growing economies zenye weak financial instruments (Senior Debts, Junior Debts, Mezzanine Debts, monoline insurances, Government Credit Enhancements, etc) na sekta binafsi ya ndani ambayo ni changa kimitaji, kirasilimali-watu na kiteknolojia?

Interest rate kwa UK Govt borrowing ni mpaka 4% wakati riba ya PFI kwa UK ni mpaka 8%. Je, gharama za kukopa kwa growing economies kama Tanzania zikoje? Una taarifa juu ya concession ya DART ni ya muda gani na riba yake ni kiasi gani? Tumeangalia gharama za foreign exchange iwapo growing economies wanakopa hela kutoka sarafu ya nje? Gharama ya mkopo inaongezeka kulingana na risks za mradi. Ukilinganisha growing economies na saturated economies wapi kuna risks za kawaida na wapi kuna risks kubwa?

Nimelenga 2018 kwa kudhani kuwa, walau awamu moja au mbili za miradi ya PPP kwenye miundombinu ya umma, itakayokuwa inatumia mfumo wa "user-charge" itakuwa imekamilika na kuanza kutoa huduma. Hivyo wananchi watakuwa wanajifunza kwa kutenda kuliko hivi sasa ambapo hata nadharia inajulikana kwa wachache sana.
 
Ericus Kimasha
Mkuu, sijafanya uchunguzi wowote kwenye makubaliano ya kufinance mradi wa Mabasi ya mwendo kasi, ila kitaalam ninavyofahamu kwa weak currency kama shilingi yetu, terms za international financing lazima kufanya analysis za Country risk analysis, na mkopo lazima asilimia flani iwe kwenye fixed rate, Vitu kama foreign exchange exposure, economic exposure lazima viwe vimezingatiwa laasivyo huu utakua mzigo kwa taxpayer baade.
Kwa vyovyote itakavyokua najua gharama za mkopo huu zisipozingatiwa kitaalam utatugharimu walipa kodi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom