Private High School au Vyuo Binafsi vya Ualimu

ismailyy

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
123
Reaction score
18
WanaJF nimehitimu kidato cha nne 2013 nimept div III nilikuwa sayansi na nimefaulu hvyo vpnd nikawa nimeomba
wizarani kujiunga na mafunzo maalum ya ualimu tarajali ngazi ya stashahada masomo ya sayansi na hisabati km ilivyotangazwa na wizara ila inackitisha wametoa majibu ila hiyo kozi wameitupa mbali hvyo basi naomba mwenye no: za simu wahusika chuo cha ualimu kirinjiko au al haramain au private high school anisaidie mungu atamlipa
 

Jaribu kwenda Internet na ufatilie contacts zao Kwa email na cellphones ili uwasiliane nao maana time ndo inaisha hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…