Halafu wewe uliyesoma shule ya serikali,mbabe mwenyewe ndie uliyepost hio thread hapo chini :Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu.
Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani sifuri kbs. Nimeona wengi ambao tumesoma nao advance ni hakuna kitu aliefaulu sana akipata div 3 ya 16, kwaio unapompeleka mwana shule private jua kbs ni mumbumbu huyo.
Huo ndo ukweli hata wale wanaojifanya wanazo hela watoto wao hakuna wanachogusa kila kazi anaachiwa dada wa kazi unakuta mpaka nguo zao wanafuliwa na dada.wazazi wanahisi ndo malezi bora lakin wanatengeneza bom la kesho bila wao kujua.Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu.
Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani sifuri kbs. Nimeona wengi ambao tumesoma nao advance ni hakuna kitu aliefaulu sana akipata div 3 ya 16, kwaio unapompeleka mwana shule private jua kbs ni mumbumbu huyo.
Private mtoto anaenda kundishwa na kuandaliwa.Sio umasikini Wala Nini unpeleka mtoto shule za pesa mwisho wa siku chuo anakutana na watoto waliosoma kata mbaya zaidi kichwani hayuko vizuri ni mbumbumbumbu tu
Naomba tusianze kushushiana heshima kijana nakuheshimu sawa vitabu vimeandikwa ili visomwe kwaio kama kipo lazima tukisome ,nimegundua kitu elimu yako haizidi kidato cha nne fail na ndio maana akili zako ni ndogo sana kama punje ya haradaniWe mzee wa upinde huna ugumu wowote wa kuwaponda wanaosoma private kwama watakuwa mayai mayai wakat ww mwenyew unapenda kusoma mambo ya ushoga
Sio kweli nimesoma kayumba na wadogo zangu wote tumesoma kayumba na wote tumefika hadi chuo, swali tulifauru vipi bila kufundishwa. Wewe kama unapeleka mtoto wako jua huyo ni mbumbumbumbu hajiweziPrivate mtoto anaenda kundishwa na kuandaliwa.
Kayumba mtoto anaenda kuhudhuria na kukaririshwa na kuadhibiwa.
So, hakuna mzazi mwenye pesa then atakubali kumpeleka mwanae kayumba
Muda mwingi mtoto anakuwa shule muda wa malezi nyumbani ni mchache sana, lkn pia wazazi wanamajukumu ya kifamilia hukumbuki hiloMalezi ya nyumbani yana nafasi kubwa zaidi ya kum-shape mtoto, especially linapokuja swala lakujifunza kazi kuliko shule anayosoma.
Baba yako hakua na pesa ya kukupelekeni private school...😜Sio kweli nimesoma kayumba na wadogo zangu wote tumesoma kayumba na wote tumefika hadi chuo, swali tulifauru vipi bila kufundishwa. Wewe kama unapeleka mtoto wako jua huyo ni mbumbumbumbu hajiwezi