Private school ni kwaajili ya watoto wa mama laini laini, mayai mayai

 
Maisha kwa sasa hayataki kutumia manguvu tech imébadilisha mambo. Kuendelea kulima kwa jembe badala ya trekta kisa uonekane baunsa sio sifa mkuu
 
We should stop romanticizing poverty. Elimu bora ni haki ya kila mtoto.

Mleta mada, shule zote za serikali Tz zinapaswa kuwa kama hizi private, ili watoto wote wawe na access ya elimu bora.
 
Maneno ya wasio na hela katika kuhalalisha kukosa kwao hela
 
Madhara ya umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…