Private school

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Kuna baadhi ya private schools zinamanyanyaso sana kwa wafanyakazi wake,yani mkuu anaiendesha taasisi kama anavyotaka.Wengine wanaassume wafanyakazi hawajui haki zao za msingi wanapokua kazini.Hili halijakaa vizuri,wakuu wa shule za binafsi mjirekebishe.
 
Asilimia 80% ya sisi watanzania ni wazembe wa kazi. Private lazima uwe competent na hardworking, acha uzembe na kama umeonewa Chukua sheria mkuu.
 

Tena sio wakuu wa shule tu, bali pia na wakurugenzi wa shule ni wanyanyasaji sana, kwa mfano mkurugenzi wa Musoma Utalii Sec School, wanamwita Marwa Siagi ni mnoko huyo! Waulize watumish wa pale watakuthibitishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…