Private sector itazamwe kwa jicho la aina hii hapa

Private sector itazamwe kwa jicho la aina hii hapa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku, ukifilisika umefilisika ndio maana hata wasomi wetu wengi hawapendi kujiajiri wenyewe wako tayari waajiriwe hata kwa ujira mdogo kabisa.

Ingini kubwa ya private sector duniani kote ni kuwa holela, njia za mkato, ukwepaji kodi, utoaji ajira zisizo na uhakika sana na kutengeneza faida kubwa ya chapuchapu ukilinganisha na public sector.

Mitaji kwenye private sector inatokana na ama kukwepa kodi au kupunja wafanyakazi. ndiyo maana hata makampuni ya wakoloni yalikusanja mitaji kwa njia haramu, kama vile kufanyisha kazi watumwa, kufanyisha kazi watu masaa mengi hata watoto, kupora ardhi, kukodisha ardhi, kuiba madini na maliasili nyingine.

Duniani kote watu wengi huwa hawapendi ajira za private sector kwakuwa security yake ni ndogo sana. Kudumu kwenye ajira za private sector kutategemea na uhodari, uchapakazi na uwaminifu wa mfanyakazi. Mfanyakazi anapokosea (mwizi, mvivu, utoro, afya mgogoro, majungu) kwenye private sector kufukuzwa kwake ni jambo la haraka lisilohitaji vikao vingi.

Faida ya serikali kwa private sector isitokane na kodi kubwa kwa wawekezaji bali itokane na
1. Ajira watakazopewa wananchi wake
2. Masoko kwa bidhaa za wananchi zitakazotumiwa na uwekezaji na wawekezaji
3. Kodi kwa wafanyabiashara wa bidhaa za wawekezaji.
4. Huduma kwa wananchi kutoka kwa wawekezaji.

Serikali ilee wawekezaji badala ya kuwatisha kwa matamko ya siku saba na kuwafungia wanapopatikana na kasoro ndogondogo.
 
Huo ndo ukweli wa maana ya private sector!
ila ruzuku kazi yake ni kuchochea uzalishaji mali sector bnas sio mbaya
Usiwe na idea kama za baba jesca
 
Mitazamo ya makengeza inaona private sector ni adui wa serikali.
 
Nimesikitishwa na mkuu Wa mkoa alivyopeleka siasa kiwanda cha Dangote kutaka sifa. Anasahau kuwa waswahili wake ni wezi, wavivu na wanaofiwa kila siku.
Anasahau kuwa kuwekeza Mtwara sio jambo rahisi.
 
Nimesikitishwa na mkuu Wa mkoa alivyopeleka siasa kiwanda cha Dangote kutaka sifa. Anasahau kuwa waswahili ni wezi, wavivu na wanaofiwa kila siku.
Anasahau kuwa kuwekeza Mtwara sio jambo rahisi.
Sijakuelewa Hapa mkuu
 
Back
Top Bottom