Wana JamiiForums nina hii hoja, ''Je Kuna ugumu wa private sector kujihusisha na uwekezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania?"
Kuachana na hoja ya kwamba mpira haulipi lakini je kuna '' bureaucracy '' ndani ya mfumo wa mpira wa miguu unaofanya uwekezaji kuwa mgumu?