tupomjinibado
Member
- Sep 30, 2018
- 17
- 13
hongera mkuu kuzifuata fursa. Sio kulalamika tu kazi hakuna..Mungu akusimamie..
Shukrani sana Rebeca, na tumai utanisaidia kusambaza ujumbe. Pamoja sana.
Mkuu, huyu Mwl. anasifa za kufundisha level hiyo? CV yake tafadhari labda tunaweza kumtafuta!Habari,
Kwa wale wanao fanya masomo ya sheria(LLB/DPL) au wale ambao wanafanya program zenye law ndani.
Sasa kapatika Mwalimu Binafsi, aliyeflexible kukufata na kukufundisha muda wa baada ya kazi kama walio wengi ambao ni wafanyakazi.
Pia Mwalimu binafsi anatoa nafasi kwa wale wanaoweza kujiorganise, na kufundishwa pamoja.
Kwa mawasiliano na mwalimu:
0756 707 562 | Dar es Salaam
Email: info.yourtutor@yahoo.com
Karibu
Mkuu, huyu Mwl. anasifa za kufundisha level hiyo? CV yake tafadhari labda tunaweza kumtafuta!
Mkuu unaweza kuwa flexible kama una Internet unafundisha live classes kwa nafasi yako,fanya both physical and online tuition...kuhusu kusambaza Becky niko Nanjilinji...lol