Prize money for some African Leagues

Kenya and Uganda [emoji3059][emoji3059]
 
Nadhani mnapotosha, ligi ya NBC mshindi hubeba 100,000,000

Hizo zingine ni za TV rights
uko sahihi,
nadhani Azam wakati anatangaza udhamini wake alikosea kujipa uamuzi wa kiasi gani bingwa atapata mpaka timu ya mwisho!

watu wakumbuke mtoa zawadi za ubingwa ni nbc na sio Azam
 
uko sahihi,
nadhani Azam wakati anatangaza udhamini wake alikosea kujipa uamuzi wa kiasi gani bingwa atapata mpaka timu ya mwisho!

watu wakumbuke mtoa zawadi za ubingwa ni nbc na sio Azam
Na Watanzania hawaelewi hilo swala kuwa Azam anatoa TV rights ni sawa na EPL TV rights hutolewa kwa timu zote shiriki kwenye ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…