Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,883
- 948
Nadhani hiyo attachment inaweza kuwasaidia vijana wanaojiandaa kwa mtihani wa kidato cha sita na wale walioko chuoni especially wanaosoma Engineering. Haya ni baadhi ya maswali yanayotumiwa na watu wanaojiandaa na Fundamental of Engineering test huko Marekani.