Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
1,660
Reaction score
1,679
Chonde! Chonde! Akina dada.

Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vizuri, utavaa vizuri na njiani utasimamishwa na wakaka watanashati lakini Mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
 
Yan wakaka baana kujiona wao ndo kila kitu anaolewa mtu na watoto wa2 au wa3 sembuse mmoja afu kaa ukijua kila kitu n mipango ya Mungu binadam kaz yao n kuongea afu hamnaga mtoto acye na baba... Wote wana baba zao labda wew ndo huna.! Kiaz wee
 
Yaani mtoa post hata wakuponde lakn ukweli utabaki pale pale mwanamke alie zalia nyumbani ni asilimia ndogo sana ya kuolewa na kijana ambae haja pata mtoto,yaan ataolewa na wanaume wenye watoto Wakubwa na wengne kuishia kuliwa tu nan aanze kulea litoto la mtu mwisho wa siku baba yake anakuja kuchukua umemkuzia, labda huyo mwanamke awe anajiweza kiuchumi lakn kama ndyo hana hata kaz yeyote kaz kutegemea kuletewa masimango yatamkimbiza tu maana mwanaume akitoka huko amevulugwa akija home litoto linapiga kelele wala sio lake na yy akifikilia hana mtoto,kifuatacho ni kofi tu nenda kwa mama yako
 
Back
Top Bottom