Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Wadau au ndugu zangu wa[endwa nadhani nimerudi tena kwa mara nyingine na nategemea kwamba nitaelekezwa tatizo liko wapi ni kwamba sasa hivi nimepata problem nyingine sasa tatizo sijui linakuwa ni nini hasa nikifungua laptop yangu napata hii messeg
STOOP C0000218 {REGISTRY FILE FAILURE}
/SYSTEMROOT/SYSTEM32/CONFIG/SOFTWARE
So nimejaribu kurecovery console then niki press R naona inanigomea kabisa so siwezi kufanya kitu chochote kile au kuaccess data zangu maana naona kama hii problem ni kubwa sana kuliko hizo zingine nilizozileta hapa na sasa hivi ni nyingine tofauti na hizo zilizopita usije ukaona zinafanana ukajua ni yale yale hapana.Ok wakuu nadhani msaada nitaupata kwa umakini maana hapa hamna kinachoshindikana.