Habari zenu wana JF naomba msaada Computer yangu niliifungua then nilipoifunga ikisha-boot inaleta message hapo chini na inaishia hapohapo haiwaki je tatizo ni nini? nahisi labda kuna ki2 kimekaa vibaya
(Novell Netware Ready Firmware V1.100(940809)
Copyright 1991-1994 Novell,Inc All Right Reserved
Sis 900/7016 PCI Adapters DOS ODI Driver VI.14(020416)
Copyright 1998 Sis Corp All Right Reserved)
I wanna be certain on this. Una maana gani unaposema kufunga na kufungua??
Mafundi bwana!
Nadhani Belo uufuate ushauri wa SHY inaweza kusaidia KUFUNGUA tena pc yako.
Jamani nauliza, ktk laptop yangu kuna strips zinaonekana ninapoiwasha ila ikiwa off hazionekani, niliwahi kupeleka kwa washauri-ufundi wakasema matrix ina utata, mara wengine wakasema kuna virus ambao wameifanya iwe ivo. na mpaka sasa vimstari vipo nane vinaongezeka kila baada ya mwezi. Je hapo kunani??

if its Dell,then thats a problem with display drivers,updated drivers will do enough.its a very common problem with dell displays.check their web-portal,they have a comprehensive solution in their site http://support.dell.com/
if its another manufacture then it can either be a driver related issue,or a hardware problem.