dmaujanja1
JF-Expert Member
- Nov 24, 2008
- 223
- 68
Nahitaji msaada,Kuna emails zimestuck kwenye outbox yangu mwanzo zilikuwa 23 emails nimezimove kwenye folder jingine zimeenda 11 emails, zimeback 12 emails kwenye outbox.Hizo 12 emails zilizobaki hazifutiki wala hazimove to another folder.
Nifanye nini kusolve hili tatizo, emails napata kama kawaida ila siwezi kusend.
Nifanye nini kusolve hili tatizo, emails napata kama kawaida ila siwezi kusend.