Probox au IST nivute ipi ?

Chukua probox au Succeed!.. hizi ni gari Moja tu, zimefanana Kila kitu kasoro majina tu kama runx na allex!.. Ukitaka kuinunua uwe makini maana Kuna probox wagon au Succeed wagon na probox van au Succeed van. Hizi van siti yake ya katikati ni Kigoda na siti Haina viegemeo vya kichwa wakati Wagon kiti Cha katikati ni sofa na Ina viegemeo vya kichwa. Ukiinunua ipe sport rim size 14 Ili inyanyuke kidogo. Kama una mizigo mingi, kiti Cha katikati unakiinamisha na tayari kunakuwa na space kubwa mpaka kwenye kiti Cha dereva Kwa ajili ya kubeba mizigo. Probox van au Succeed van vioo unapandisha Kwa mkono wakati probox wagon au Succeed wagon vioo unapandisha Kwa umeme!.. Hizi gari Zina uwezo mkubwa wa kubeba mizigo!.. Ina uwezo wa kubeba mifuko 40 ya Cement na inatembea vizuri kabisa bila kutetereka!.. Injini yake ni ngumu mnooo, yaani unakuta gari imekongorika lakini Injini unakuta nzima kabisa!...
 

Mifuko 40? Hapa hapana ulichapia [emoji1] kilo 400 (probox) na kilo 450 (succed) almost mifuko 8 mpaka 10 wewe unasema 40 !!
 
Succeed is better than Probox

Hata ukitaka kuiuza ni haraka sana kuliko probox.
Nilichukua Probox mmoja tamu sana 2013/15 hapa mjini ina nusu mafuta km 13/14 kwa lita kwenye foleni nikitoka njee tuu 17km kwa lita .. mzigo inabeba kama scania mende๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ
 
Nilichukua Probox mmoja tamu sana 2013/15 hapa mjini ina nusu mafuta km 13/14 kwa lita kwenye foleni nikitoka njee tuu 17km kwa lita .. mzigo inabeba kama scania mende๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ
kwahiyo ngoma unaipigia kazi au unakula nayo misele๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ