Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Biashara ipi hiyo? HiiSisi tunapiga biashara. Starehe za vijiweni achia Wadangagiza
Baba bei ya unga migogoro, ndo waweze Prado? Acha utani mzee!Kwa wale ambao mtakuwa mmefika Kenya mtagundua kuwa, the richest of the rich are using Toyota Probox as one of their luxurious car.
The situation in Dar is very different where its common to find a common mwanainchi, a salaried employee drives in a Prado!
View attachment 839796
Wanaendelea wapi? Kuna huduma u can't compromise their comfort and quality service provision. Take example tourism. State of the art logistics n beds provision come second to none. A reason we get twice their tourism revenue though we get less number of tourism in comparison to them.Wakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo
I don't see any road where Prado can pass through hereKwa wale ambao mtakuwa mmefika Kenya mtagundua kuwa, the richest of the rich are using Toyota Probox as one of their luxurious car.
The situation in Dar is very different where its common to find a common mwanainchi, a salaried employee drives in a Prado!
View attachment 839796
Wacha kuchoma bangi mbichi. When it comes to tourism revenue and tourist numbers tuko mbele on both. Punguza ujinga, you spread lies and propaganda all day nikama a Kenyan stole your wife from you. Nkttt!Wanaendelea wapi? Kuna huduma u can't compromise their comfort and quality service provision. Take example tourism. State of the art logistics n beds provision come second to none. A reason we get twice their tourism revenue though we get less number of tourism in comparison to them.
This is a flight path. There are no roads over there. All planes that lands on JKia, pass over this area.I don't see any road where Prado can pass through hereView attachment 839820View attachment 839821View attachment 839822View attachment 839823
I am not talking about the flight path but am talking about the estate where common mwanchi leaves......who can afford a PradoThis is a flight path. There are no roads over there. All planes that lands on JKia, pass over this area.
Kwa wale ambao mtakuwa mmefika Kenya mtagundua kuwa, the richest of the rich are using Toyota Probox as one of their luxurious car.
The situation in Dar is very different where its common to find a common mwanainchi, a salaried employee drives in a Prado!
View attachment 839796
@geza ulole is busy with KE-NYANIWanaendelea wapi? Kuna huduma u can't compromise their comfort and quality service provision. Take example tourism. State of the art logistics n beds provision come second to none. A reason we get twice their tourism revenue though we get less number of tourism in comparison to them.
Izo ni gari za biashara kijana.Kwa wale ambao mtakuwa mmefika Kenya mtagundua kuwa, the richest of the rich are using Toyota Probox as one of their luxurious car.
The situation in Dar is very different where its common to find a common mwanainchi, a salaried employee drives in a Prado!
View attachment 839796
Nimempa za uso akakimbia na pumba zake hukoMleta mada hajafika Kenya, probox Kenya zimetapakaa kila mahali ni gari la wananchi wa kawaida na wanabiashara wadogo wadogo. Sanasana huwa zinatumiwa kusafirisha mirungi. Huyu ndio yule yule Barbarosa ni pumba zake alizokaririshwa vijiweni.
Huu ugomvi sio, jamaa wanagari nyingi balaaWakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo