deNavigator
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 63
To my thoughts nikielimishwa kua ni bure 100% siwezi kuchangia. as in my prior expectations ni kua uwezo wa kufanya kazi au kupambana utapunguai Hivyo ni lazima niwezeshwe kujikimu there after the process.Unataka ku "donate" kwa hela au bure mkuu?
Kama ni bure kuna taratibu na kama ni hela pia kuna taratibu.
Sijafahamu kuhusu hali ya afya baada ya kutoa figo, hilo mpaka wataalam. Ila ninachojua mtu anaweza ishi na figo moja kwa muda mrefu, japo sijajua "complications" ya kuishi na figo moja.To my thoughts nikielimishwa kua ni bure 100% siwezi kuchangia. as in my prior expectations ni kua uwezo wa kufanya kazi au kupambana utapunguai Hivyo ni lazima niwezeshwe kujikimu there after the process.
Kitu najiuliza ni juu ya maisha yangu (kiafya) after the process na percentage of survival kwangu mimi.
We jama ni bonge la mstaarabu.Sijafahamu kuhusu hali ya afya baada ya kutoa figo, hilo mpaka wataalam. Ila ninachojua mtu anaweza ishi na figo moja kwa muda mrefu, japo sijajua "complications" ya kuishi na figo moja.
Utaratibu ni rahisi, fika Muhimbili omba kuonana na mkuu wa idara au mkuu wa kitengo cha mahusiano ya umma. Wao wana wagonjwa hapo wanaohitaji transplant za figo, watakupa utaratibu mzuri kutoka kwa mhitaji na mtafikia makubaliano. Wao watakutafutia mgonjwa "mteja" anaeweza kununua figo toka kwako mtakubaliana.