Process za kuanzisha Gazeti...Help!

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
wadau,nina wazo fulani la kuanzisha gazeti,si moja ni mawili,lakini sijui nianzie wapi!
najua kuna watu wa fani hiyo humu ndani naomba msaada pls.

thanks
 
it means humu ndani hakuna anaejua au wanaipotezea?
 
Watakuja, wapo kazini saivi, si unajua biashara asubuhi.
 
kwanza usajili hilo gazeti kwenye chombo husika,then uwe na theme ,vision,mission ijayoeleweka ikiwezekana iwe exceptional,next tengeneza timu mahiri ya kufanya nayo kazi kuanzia authors,editors,designers etc panga pia marketing strategy ya gazeti lako.....huu ni mtazamo wangu tu kama publisher wa vitabu vya shule!!!!!!....i know I might miss some points there........................
 
tutajifunza na sie tunaotaka kuanzisha magazine.
 
thanks wakuu lakini bado nahitaji msaada
 
Andika barua kwanza upeleke pale habari maelezo,barua iseme jina la gazeti wakisha cheki watakujibu kama jina lipo au hamna, hapo watakupa forms za kujaza. Ni katika forms hizo utaona kila kitu cha kufanya SIMPLE
 
Jitahd kutoichambua serikali ya jk ukifanikiwa,la sivyo watakumwanahalisi siku si nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…