Nilishawahi kushuhudia case kama hii, mtu alizaliwa nje ya Tanzania na wazazi wote wa-Tanzania. Kasoma shule ya msingi hadi Secondary Tanzania, akapata nafasi kwenda kusoma nje ya nchi; kwenda uhamiaji waungwana wakamnyima passport ya Tanzania, jamaa akaenda ubalozi wa nchi aliyozaliwa hapo bongo,huo ubalozi wa nchi aliyozaliwa wakampatia passport ya hiyo nchi aliyozaliwa~mpaka leo jamaa anakula bata huko kwao!.Uongo mkubwa wa hao watishaji,mtu akizaliwa nje na wazazi watanzania na yeye ni mtanzania,aweke cheti cha huko alikozaliwa,ana haki ya kupata passport