Process za kuwa wakala Mitandao ya simu

Process za kuwa wakala Mitandao ya simu

Isyaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
274
Reaction score
62
Poleni na majukum wapendwa. Mwenye uelewa na biashara ya M-pesa,tigo pesa na eatel money anifahamishe. jinsi ya kupata line,gharama za uendeshaji na faida.

NAWASILISHA.
 
kama upo arusha ni pm nitakupa utaratibu wote au fika katk ofisi husika kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom