kwa mtu anayefahamu si mbaya kunielekeza process zote zinazotakiwa kufuatwa kwa kupata scholarship nje ya nchi level ya masters..
naamini majibu yatajibu maswali haya;
aina za scholaship..?
Nawezaje kuomba chuo abroad?
Kipi kinatangulia na kipi kinafuata kati ya kuomba scholaship au kuomba chuo?
Kuna mitihani yoyote?
Kuna gharama ndogondogo?
Busara itumike wadau..kwa anayefahamu.