Procurement & Legal dept TANESCO: Idara zinayoongoza kwa rushwa Tanzania

Procurement & Legal dept TANESCO: Idara zinayoongoza kwa rushwa Tanzania

thread critic

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
71
Reaction score
14
418205_10151074272893841_333870795_n.jpg



Sidhani kama hata ile idara ya procurement pale BOT wanaweza kuwashinda hawa Tanesco kwa ufisadi uliokithiri

Lakini mkitaka kujua ufisadi unavyofanya kazi tazameni:

1. Valuation team za hii tender board ina comprise akina nani

2. Muda gani wanakaa kufanya valuation

3. Appeals zilizopelekwa na watu waliochakachuliwa kwenda PPRA na PCCB na kwenye management ya Tanesco

4. Tazameni barua wanazopewa wanaokosa tenda pale TANESCO zinaandikwaje? na kwa nini haielezwi sababu ya kampuni kokosa kazi

5. Tender board wanapewa documents masaa mangapi na hii team ya valuation kabla hawajaamua nani apewe tender

6. Je Tenderboard ya TANESCO iko na akina nani.

7. Legal team ya TANESCO kwa nini wanapitisha haya madudu?

8. Mara ngapi TANESCO wamekiuka miiko na masharti ya PPA2004?

Baada ya hapo mtajua kwanini nimesema kuwa idara ya procurement na inaongoza kwa rushwa na ufisadi Tanzania.
 
Shirika lote limeoza bana hapana kusema kitengo fulani ndiyo afadhali hakuna,Na hii inaanza katika ngazi ya chini mpaka ya juu yaani Tanzania yote na watu wake imeoza yaani pamoja na wewe ni nafasi tu ya kula hujapewa..PERIOD.
 
Ni bora tu tanesco ibinaifisishwe kampuni zote Za serikali tumezifilisi.Rushwa iko kwenye damu yetu.Ubaya ni kwamba tanesco haina shareholders na haindeshwi kibiashara.
 
mwanzisha mada

umewagusa watu na interest zao ndio maana thread imehamishwa

eti mnapiga visa ufisadi

acheni nyie...mnajua JF nayo ya nani?
 
Back
Top Bottom