Producer John Mahundi aoa mtoto wa Rais Mwinyi

Hiyo allergy kaipatia ukubwani!!!

All in all, congrats fella!

Mkuu, hujawahi kusikia mtu anasema eti ana allergy na ugali, wakati alikuwa anaufukua kisawasawa? Chezea Wabongo wewe! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwa hiyo 'Da Mange' ndio reference Siku hizi?
Kuna Siku Mange atakwambua Mama yako alikuwa Mwanaume na utaamini!

Kwanza haitwi Aaron ni Haroun
 

Nijuavyo Mheshimiwa Mwinyi ana wake wawili mama Sitti na Khadija.

sasa yupi kati ya hao ni mtoto wa Kitwana Kondo?
 
Nijuavyo Mheshimiwa Mwinyi ana wake wawili mama Sitti na Khadija.

sasa yupi kati ya hao ni mtoto wa Kitwana Kondo?
Ndo maana nilitaka watu wazima wathibitishe lakini si miongoni mwa hao! Ilisemekana alikuwa bado dogo dogo... sasa cjui kwavile wakati ule siasa za vyama zilishaanza kuingia wakaamua kumzulia mzee wetu, au vipi!
 
Nani alikwambia age ya 60 hawezi kupiga mashine ?? Age hii anapiga machine sawa kabisa na age ya 20.Naona una upungufu wa biological knowledge. Age ya 80 mtu anapiga mashine kama kawaida.
 
Mwanamke ni mwanamke tu ata awe mtoto wa nani/awe nani. Wameumbwa kuolewa so acha akapigwe muhogo wa jang'ombe
 
Wakubwa wanatumia dawa special and very expensive. Wewe na mie size yetu super shaft [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…