Producer Lamar "nina mpango wa kununua ndege binafsi hivi karibuni"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali ...Amesema hizo ndoto alikuwa nazo muda mrefu na Ameshaanza Kuongea na Wauzaji wa ndege kuona kama atapata Moja ...Big Up Lamar...Utakuwa msanii wa kwanza Tz kuwa na Ndege Binafsi....

Mwanamuziki Mwingine mwenye ndoto kama hizo ni Ay ambae nasikia ameanza kujifunza kuendesha ndege ili kujiandaa atakapo nunua yake .....
 
Lamar ni producer si mwanamziki..
Kwa ela ya ngada?
 
ntakunya hapa mpaka songea namjua sana huyu dogo yani huyu ni sulu bin sulu.
 
Mashauzi ndio haya mtu pesa ya kula tu inakusumbuwa halafu unaongelea kumiliki ndege!!
 
Unga unawalipa,anajua ana trip zake kadhaa ananua mercedez benz yke na mabata tele.Kwa ndege hataweza madon wao wenyewe wanashindwa wawe hao mapunda.
 
Unga unawalipa,anajua ana trip zake kadhaa ananua mercedez benz yke na mabata tele.Kwa ndege hataweza madon wao wenyewe wanashindwa wawe hao mapunda.

Siyo kila mtu akifanikiwa ni madawa watu wanapiga kazi wewe waza madawa tu.

Pia nina uhakika uwezo wa kununua anao zile ndege ndogo tatizo uendeshaji wako unatumia gharama sana kuanzia mafuta. Bima. Kumlipa rubani.service. etc

Bei si kubwa sana
 
Yani unasapoti ujinga halafu unajikana mwenyewe.

Kuzaa mwana si kazi kazi kulea mwana.
 
ntakunya hapa mpaka songea namjua sana huyu dogo yani huyu ni sulu bin sulu.

Heh hehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhehehehehehhhhhhhhhhhhhheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mbavu zangu weee,Maliyamungu utakunya mpaka nyumbi hii bombi hiii penyee pale pa Mfaranyaki loo kaka unye mpaka Songea mpaka upandishe ile milima ya Lukumburu bado unakunya tuu jamaa akija nunua kifastjet chake.
 
Sijui atawasiliana kwa kiswahili/kinyakyusa na waongoza ndege akiwa huku angani,mimi Maimuna napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…