Uchaguzi 2020 Producer mkongwe Master Jay achukua fomu ya kutia nia Ubunge Rombo kwa tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 Producer mkongwe Master Jay achukua fomu ya kutia nia Ubunge Rombo kwa tiketi ya CCM

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM

Master Jay.jpg
 
Wengine wanajifurahisha tu na wanajua hawatapitishwa katika kura za maoni
 
Naye akakatwe alizoea kukata vijana wa bongostar search.
 
Back
Top Bottom