Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
Kutoa rasta tu ni kigezo pekee cha kuonesha kuwa hana msimamo na falsafa thabiti....ni mnafiki na anayumbishwa na hisia za watu!! Btw kila la kheri kwake!