Producer wa Diamond alia na waandaaji wa KTMA

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua tuzo nyingi katikatuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika juzi, Ameonyeshwa kukerwa kwa kukosa tuzo ya Producer bora Wakati wimbo huo umechukua tuzo nyingi ikiwemo ya Wimbo bora.

Amekaririwa akisema, "Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo bora wa music wakati Number one imekuwa wimbo bora wa wwaka na imemfanya Diamond apate tuzo saba.
 
Hata Man Maji.. alilia hivohivo 20% alipochukua tuzo 5 yeye akaambulia patupu...
 
huyu wala si producer bora kabisa na hatokuja kushinda hiyo tunzo. Yani anataka apimwe kwa wimbo mmoja?

Wakulalamika ni Marco Chali si huyu.
 
Kwani waandaaji ndio waliopiga kura??????majaji walikuwa asilimia 30 tu 70 zote waliopiga kura ndio wameamua washindi.
 
Hata Man Maji.. alilia hivohivo 20% alipochukua tuzo 5 yeye akaambulia patupu...

Kama ulikuwepo mkuu niliweka hilo bandiko mwaka ule ni vp mwanamuziki apate tuzo zote producer asipate coz kimsing pamoja na ubora wa mashairi na vocal ya mwanamuziki lakini beat na melody za muandaaji ndo hubeba muziki ndo sababu twapenda rhumba ilhali hatujui lingala.
 
huyu wala si producer bora kabisa na hatokuja kushinda hiyo tunzo. Yani anataka apimwe kwa wimbo mmoja?

Wakulalamika ni Marco Chali si huyu.
Kweli wimbo 1 tuu.Hivi huo wimbo asingeimba daimond angesikika kweli sababu producer bora toka na mtu ambaye hana jina tujue kweli hapo aliumiza kichwa.
 
Mhhhhj akomeee nae aimbeee si alilipwaa kwan alitengeneza bure tuzo ni majaaliwaaa
 
nashanga! mbona mpiga picha hod hajaja hapa kulalamika kuwa mpicha bora wa domo?

Atakuja muda si mrefuu anasubiri jukwaa lipoe atasema alitengeneza picha nzuri za tangazo ndio maana wengi walipiga kuraa kwa hiyo nae ana kismatiii
 
huyu wala si producer bora kabisa na hatokuja kushinda hiyo tunzo. Yani anataka apimwe kwa wimbo mmoja?

Wakulalamika ni Marco Chali si huyu.

True watakuja wataondoka na hizo hit zao mojamoja honestly Marco Chali ndiye producer aliyeweza kusimama kwa kizazi hiki tangu 2006 hadi leo anatoa nyimbo kali aliambulia tu ile ya 2008. Bado najiuliza had leo hivi tuzo ya producer bora wapiga kura wanaangalia sura au Skendo.
 
Mkuu qn of sheba
Huyu jamaa Marco chali huwa anatoa hit si chini ya tano kila mwaka na ni producer ambaye ana baki kwenye chat kila leo kama mtu ni mfatiliaji wa Muziki hawezi kubisha.Marco Chali si producer wa msimu.

Tunapo ongea sasa ana hit Song zaidi ya mbili Radion mfano Asante ya AY na nilipo mkubali ni baada ya kusikia wimbo mpya wa Mwana FA -Mfalme ft G.Nako hakika nime mkubali kwenye zile mixing zinga la wimbo.

Sasa huyu ana lalamika kwa kuwa na wimbo mmoja tuu.
 
Atakuja muda si mrefuu anasubiri jukwaa lipoe atasema alitengeneza picha nzuri za tangazo ndio maana wengi walipiga kuraa kwa hiyo nae ana kismatiii

Hana nyota , wenzie wanatembelea nyota za watu na yeye ajaribu hvyo
 
nashanga! mbona mpiga picha hod hajaja hapa kulalamika kuwa mpicha bora wa domo?

Aaah aaah sas kwan kulikuwa n category za wapig picha , halaf cku iz aonekan humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…