kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Africawise? u can't be serious broMensen selekta
it's a group bro, wako zaidi ya wanne. hatari sana wale watu.kuna ngoma 1 inaitwa the (runtown) banger wameshirikiriana kunyonga hiyo beat na kuimba,ni konyouhuru uhuru uhuru.....sio binadam wa kawaida huyu bwana
Shizzy n producer n legendary beats n studio n wasanii ya watu wawili Okiemute na Uzezi ila kwa pamoja ndo wanajiita legendary beats1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
Ni kundi la watu wanne DJ Maphorisa, Mapiano, DJ Clap na Xeli ukitaka kuona utamu wao wambie wakungongee beat then wape hata ka chrous au hata ka intro kidogo wakufanyie kazi n balaauhuru uhuru uhuru.....sio binadam wa kawaida huyu bwana
Mkuu runtown n msanii ngoma inaitwa banger it's runtown ft uhuru = banger wamenyonga beat na kuimba lile dude lilipigwa lazima uinuke ukikaa utachezesha hata miguu na kichwait's a group bro, wako zaidi ya wanne. hatari sana wale watu.kuna ngoma 1 inaitwa the (runtown) banger wameshirikiriana kunyonga hiyo beat na kuimba,ni konyo
Dj maphorisa acha kabisa mkuuuhuru uhuru uhuru.....sio binadam wa kawaida huyu bwana
Mkuu shizzy na lengendary beatz ni watu wawili tofauti.lengendary beatz ni production duo ambao wapo kwenye label ya wizkid1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
Naona Tekno na Paul Okoye wanasahaulika kabisaShizzy n producer n legendary beats n studio n wasanii ya watu wawili Okiemute na Uzezi ila kwa pamoja ndo wanajiita legendary beats
Ongezeza kwny list
6. Masterkraft
7. Samkfer
8. Kiddominant
9. Don jazzy
10. Oskido
11. Young john (the wicked producer)
12. Dj Coublon
13. Pheelz
Paul cjawahi sikia kazi ya mikono yke upande wa tekno beat niliockia kazi yake ni ya victoria kimami tuNaona Tekno na Paul Okoye wanasahaulika kabisa
Selebobo na don jazy aiseee1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
Uhuru sio mtu mmoja mkuu!uhuru uhuru uhuru.....sio binadam wa kawaida huyu bwana