Producers wa EDM(Electronic Dance Music)

Dah mdau mwenyewe nazimaindi sana hizo kitu. Mi ni beat maker toka kanda ya kusini natengeneza hiyo midundo kwa sana tu... So imekuwa ni ngumu kuwashawishi wasanii wetu kutembea kwenye midundo hiyo.
Njia za kuwashawishi watanzania na wanamuziki wa hapa bongo waipende hii miondoko ni mbili tu..
1: Kuwa producer:
Hapa inatakiwa utulie kweli ili utoe EDM nzuri za kuwashawishi watu.
2: Kuwa DJ wa redio yoyote hapa Tz:
Njia hii hautumii nguvu nyingi kama njia ya uproducer, ukishakuwa DJ hakikisha kila kipindi chako unaipa promo ya kutosha EDM na unacheza hasa nyimbo za EDM.
Zikitumiwa vizuri hizo njia mbili hapo juu, EDM lazima itasomeka,
 

Nilishaga hudhuria Ultra Music festival moja ya 2015 Skrillex alipiga set moja ya approx 1 hr sijawahi kuona crowd reaction kama ile. Ilikuwa Miami ni noma.
 
Mi naijua ile ya scared to be lonely ni hatari sana ile
asanteeee kwa kuwa mfuatiliaji wa huyu jamaaaa...

scared to be lonely ni shidaaaaa.....akiwa na mwana dada Dua Lipa..[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Nilishaga hudhuria Ultra Music festival moja ya 2015 Skrillex alipiga set moja ya approx 1 hr sijawahi kuona crowd reaction kama ile. Ilikuwa Miami ni noma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sanaa....
 
Nilishaga hudhuria Ultra Music festival moja ya 2015 Skrillex alipiga set moja ya approx 1 hr sijawahi kuona crowd reaction kama ile. Ilikuwa Miami ni noma.
Skrillex - Summit (feat. Ellie Goulding) [Video by Pilerats]

Skrillex 100,676,544 views
 
Skrillex - Summit (feat. Ellie Goulding) [Video by Pilerats]

Skrillex 100,676,544 views

Ilipigwa show moja ya kibabe hatari kaka. Tiesto naye akapanda akamaliza kabisa.
 

jamaaaa yupo live sasa hivi...wale washabiki wa Armin van burren nipp namcheki laivu...anashusha vitubkupitia
A STATE OF TRANCE (ASOT) EPOSED YA 809
 
Raphael hongera sana, ikiwa kati ya hivo track itashika chart nzuri kwenye media za hapa ndani basi soko litahamia kwako.

Jaribu kufanya vizuri uwezavyo, ndani ya miaka michache unawezakua mhasisi wa EDM Tanzania.
 
Uzi poa sana huu,
Umewaacha one republic, na wale madogo One direction, Imagine dragons, owl city, Maroon five,
Huu muziki sio Wa ulimwengu huu.

Nlianzaga kuvutiwa na EDM kitambo, hasa baada ya kuzielewa kazi adimu kabisa za Regendary Avicii
Live long Producer Avicii.
 
Maroon 5 ni a rock band, not an EDM band mate. Imagine Dragons ni a rock band. One republic - rock.
I do not do pop but I guess hapo ndio One direction wako pop. Owl city however do all genres, hao sijui kama they do EDM. I do not listen to EDM
 

Tiesto mbona ukumtaja akati ndo mkali wao
 
Kwa jina naitwa Raphael am 19, ni producer wa muziki wa EDM kutoka Dodoma kwa miaka almost 4. Swali langu ni, je kuna maproducer wa EDM specifically katika kanda ya East Aftica? Na mnahimizaje muziki huu katika society yako.
I like real guitar and real drums. Thats why I listen to rock. EDM kwangu ni too electrical. Nina ujuzi wa mdogo sana wa EDM lakini I heard some famous award winning DJ was to come perform here, DJ DIPLO. It wil also feature 3 Kenyan DJs: Blinky Bill, DJ Kace and Suraj. Dont know how that went down
 
lol. pole lakini sidhani kama unajua kutofautisha aina za muziki
 
Aseee unawajuaa wote ninao wafaham ...


EDM ime take over sana kwenye industry ya music

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa Ultra mcheki apa Tiestooo akifanya ake Baaabbb Kubwaaa
 
Wazee wa Ultra mcheki mkali tiesto akifanya ake,... Baab kubwaaa.
Apa ni ULTRA MIAMI 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…