Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Tembelea viwanda vya beer hivi karibuni wametangaza nafasi kama hizoNatafuta kazi au internship
Education: Bachelor degree of science in production and operations management.
Expirience;
I have worked in quality control and production supervising job, i can handle injection moulding and blow moulding production very well, i have experience with both of the process.
Location:
Dar es Salaam
Kiwanda kipi wametangaza kazi kaka?Tembelea viwanda vya beer hivi karibuni wametangaza nafasi kama hizo
Ata sijui niandike nini kakaKiukweli upataji wa Kazi kwa sisi tuliosoma POM imekua ni changamoto mnooo, maana ukisema usubiri ajira portal ni mpaka Tutorial assistant za POM (MZUMBE UNIVERSITY) tena kwa wenye GPA nzuri nje na hapo ni mtafutano wa private napo huko bila connection ni ngumu sana kupata kazi. All in all tuendelee kuomba mungu na kupambana tu. Ila kwa upande wangu naona POM kwangu ilikua ni wastage of time [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
AsanteKilala heri boss,
Shida inaanzia course structure haijakaa sawa maana inaleta shida tukae wapi engineering au management. Hili TCU inabidi walifatilie vinginevyo vijana wataendelea kuumia mitaani tu. Ni bora course ijulikane km PRODUCTION ENGINEERING na watambulike km engineersAta sijui niandike nini kaka
Haya maisha haya basi tuu
Dah ni kuendelea kukomaa tuHaya makozi bila connection ni kupoteza mda.
Umepiga POM mkuu?Dah ni kuendelea kukomaa tu