Products from Dodoma wine "DOMPO"

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Binafsi sikujua kua kiwanda cha Dodoma wine kina products nyingi zaidi ya ile pendwa ya DOMPO ambayo ni maarufu sana mtaan.
Leo nawaletea picha za baadhi ya product zinazotengenezwa na kiwanda hicho chenye maskani yake mji mkuui wa
Binafsi Dodoma Tanzania
 
Umenisababishia kiu kali sana ya mvinyo.
Red wine ile dry na mishikaki kadhaa au na kuku wa kuokwa au kuchomwa siyo wa kukaangwa na mafuta.
Kitu hiyo hapo nadhan inapatikana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…