products zinazotokana na Kuku

products zinazotokana na Kuku

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
23
Wakuu habari yenu
Aisee katika pita pita yangu humu niliona kuna post nyingi kuhusu ufugaji wa kuku zikieleza jinsi ya kufuga kuku na maelekezo yake kwa kina
Ila leo nilikuwa nina swali kuwa ukiachana na mayai, nyama je ni products gani zinazotokana na kuku ? Kuna mtu niliona kasema kuwa kiini cha yai la kuku kinatumika kutengeneza shampoo so mwenye ujuzi wa mambo ya kuku tafadhali atujuze kama kuna products zingine za kuku zinaweza tumika kama malighafi na ni product ipi na inatumika kutengeneza nini ?? Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom