Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Bila shaka kijana Millard Ayo kapitia thread hii Zijue Nyimbo zilizotengezwa na producer Miika Mwamba akaona haja ya kumtafuta na kumfanyia mahojiano..
Never underestimate the Power of JF. Safi sana mdau wetu wa nguvu, bwana Millard Ayo..
----------
Kutoka kwenye mahojiano >> Miika Mwamba anasema..
- Nimefanya kazi Tanzania kwa muda wa miaka mitano, kuanzia miaka ya 90..
- Ninajivunia sana kufanya kazi na Daz Nundaz, walifanikiwa.
- Namshukuru Dully Sykes, wimbo wake wa Julieta ndio ulinitoa na kunitambulisha.
- Sikuwahi kumiliki studio yangu binafsi kutokana na ugumu wa sheria za nchi.. Mimi ni mgeni! Nilikuwa nalipwa mshahara tu.
- Kwa sasa sifanyi tena utayarishaji muziki kama kazi, nafanya kishkaji tu mara moja moja.
- Kazi yangu maalum ni Ukalimani. Natafsiri lugha mbalimbali. Inanilipa.
Q & A
> Tanzania imekufanyia nini kwa mchango ulioutoa kwenye Bongofleva?
- Heshima. Nashukuru sana watu wamenipokea vizuri.
> Kuna tofauti gani zamani na sasa?
- Ni ngumu kulinganisha. Nashindwa kujibu. Kila zama na nyimbo zake. Nashukuru kwamba teknolojia na wasanii wameendelea vizuri sana. Game kwa sasa ipo tofauti na kama mimi ningeweza kuchangia, niko tayari.
> Nini ungependa kifanyike kwa sasa?
- Ngumu kujibu. Ngoma za sasa ni hatari. Big up kwa wote. Kitu ambacho nimekimiss kidogo, sisikii sana upigaji wa Live kama enzi zile. Sasa hivi nyimbo zote ni programming, sio mbaya lakini watu wajifunze, wasitegemee sana kompyuta. Watu wasije wakasahau kutumia vifaa kama gitaa, drums n.k.
> Nyimbo gani unazipenda?
- Darassa, Rich Mavoko.. Wengine mpaka nisikilize sana.
> Maprodyuza Je?
- Hahaha. Hiyo siku nyingine!
> Vipi, utarudi kutengeneza muziki nchini japo mwaka mmoja tu?
- Hahaha. Hiyo ni siri yangu. Nitajaribu.
Msikilize na kumtazama zaidi kwenye video hapo juu.