Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi?

Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
 
Ni kama una majibu yako tayari ila unataka usikie uthibitisho kutoka kwa wadau
 
Kwa mwezi huu, ni kawaida watu wa pande zile, huendaga likizo pande zile.
P
 
NI BUSARA UNAPOKARIPIWA NA KIONGOZI, UNAPASWA KUONYESHA UNYENYEKEVU NA NDIO ALICHOFANYA BWANA HUYU.... "YOU CAN NOT AFFORD TO CROSS SWORD WITH DECISION MAKER"
 
kuna wakati inakupasa kuishi at low key nakuangalia big bananaz wanaendaje ili nawewe uendane na mapigo otherwise tengeneza excuse changes zifanyike ukae pembeni....

Tatizo waAfrica ni njaa..
 
kuna wakati inakupasa kuishi at low key nakuangalia big bananaz wanaendaje ili nawewe uendane na mapigo otherwise tengeneza excuse changes zifanyike ukae pembeni....

Tatizo waAfrica ni njaa..
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Prof kuambiwa na rais kuwa ni nonsense ni aibu kwakweli, inabidi akajifiche
 
Yuko JamiiForums na ID feki
 
Alikuwa anasubiri uteuzi mzuri
 
Mangi huyo lazima aachwe tu ili tubalansishe na kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…