Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
