Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mkuu usije ukasababisha jamaa awekewe sumu.Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Ni Dkt Samia tuKwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mitano tenaNi Dkt Samia tu
Ccm ni magaidi na watekaji kama Hamas!Hata akigombea Malaika kupitia CCM. kura yangu hapati.
Yaani kama kuna mtu anafaa kugombea CCM ni Professor Mkenda!Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mchaga kwenye urais ni big no...narudia Tena ..BIG NOKwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Una mfahamu?? Waulize walio karibu naeView attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mchaga kwenye urais ni big no...narudia Tena ..BIG NO
mtanishukuru baadae
Wizara ya Elimu bado imemwelemea unataka apewe Urais?View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mara 1000 sisi kuliko nyiee...yaani mnataka Tena mkajenge lami mpaka uchochoroni kule kiruuu ...yaani nilishangaa tuliwapaga upm tu mkajenga lami mpaka milimani na umeme mkawapelekea nyani hukoKwaiyoo nyie wamang'ati ndo mnafaa kwenye uraisi?
Mara 1000 sisi kuliko nyiee...yaani mnataka Tena mkajenge lami mpaka uchochoroni kule kiruuu ...yaani nilishangaa tuliwapaga upm tu mkajenga lami mpaka milimani na umeme mkawapelekea nyani huko