Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2024.
Soma Pia: Prof. Adolf Mkenda: Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Walimu
Amesema serikali haiwezi kuajiri walimu ambao hawana ubora, "Hatuwezi kukuajiri hata kama umekaa miaka 10 mtaani, itatuuma sana lakini inauma zaidi kuwapelekea wanafunzi mwalimu ambaye hajaandaliwa vizuri”.