Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2024.
Amesema serikali haiwezi kuajiri walimu ambao hawana ubora, "Hatuwezi kukuajiri hata kama umekaa miaka 10 mtaani, itatuuma sana lakini inauma zaidi kuwapelekea wanafunzi mwalimu ambaye hajaandaliwa vizuri”.

Ualimu sio dili tena kwenye mtaala mpya waalimu wa diploma hawaruhusiwi tena kufundisha sekondari maanake hawatakua na ajira tena wakati ni wengi hata kuliko wa degree.
Unasoma weee! Unapata diploma, unasoma weee unapa degree wakati huna ajira. Umri unasonga mbele, hiyo elimu itatumika lini? Bora mtu akimbiliea VETA akapate ufundi huko hata wa certificate aingie mtaani kujiajiri fasta kuliko kujisomesha zaidi huku huna ajira, hii ni akili au matope? Huko kujisomesha zaidi ada itatoka wapi wakati mtu hana ajira?
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2024.
Amesema serikali haiwezi kuajiri walimu ambao hawana ubora, "Hatuwezi kukuajiri hata kama umekaa miaka 10 mtaani, itatuuma sana lakini inauma zaidi kuwapelekea wanafunzi mwalimu ambaye hajaandaliwa vizuri”.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2024.
Amesema serikali haiwezi kuajiri walimu ambao hawana ubora, "Hatuwezi kukuajiri hata kama umekaa miaka 10 mtaani, itatuuma sana lakini inauma zaidi kuwapelekea wanafunzi mwalimu ambaye hajaandaliwa vizuri”.
KAMANDA WA TAKUKURU (M) MKOA WA KILIMANJARO S.L.P 1951 Moshi-Kilimanjaro Imetokea taharuki kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025, Moshi Manispaa, baada ya kuonekana mtaani kwa risiti za malipo ya mamilion ya fedha , yasiyojulikana...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili.
Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2024.
Amesema serikali haiwezi kuajiri walimu ambao hawana ubora, "Hatuwezi kukuajiri hata kama umekaa miaka 10 mtaani, itatuuma sana lakini inauma zaidi kuwapelekea wanafunzi mwalimu ambaye hajaandaliwa vizuri”.
Unasoma weee! Unapata diploma, unasoma weee unapa degree wakati huna ajira. Umri unasonga mbele, hiyo elimu itatumika lini? Bora mtu akimbiliea VETA akapate ufundi huko hata wa certificate aingie mtaani kujiajiri fasta kuliko kujisomesha zaidi huku huna ajira, hii ni akili au matope? Huko kujisomesha zaidi ada itatoka wapi wakati mtu hana ajira?
Elimu bongo imekosa thamani, ushauri Kwa vijana wasomi tufute dhana ya kutaka kuajiriwa ijapokuwa mfumo wetu waelimu unatutaka kuajiriwa. So kipi chakufanya kwanza tusichague kazi, pili tupunguze starehe , tatu tusione aibu kuanza zero hata tukiwa na digree .