Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jan 31, 2026 #1 Wakati akihojiwa na Crown Tv Prof. Anna Tibaijuka amesema Mikataba yote inahusu Rasilimli za Taifa inapaswa kupelekwa Bungeni lakini isipopelekwa ni madhambi” Soma Pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta taifa pamoja na kiongozi wa upinzani yuko gerezani Your browser is not able to display this video.
Wakati akihojiwa na Crown Tv Prof. Anna Tibaijuka amesema Mikataba yote inahusu Rasilimli za Taifa inapaswa kupelekwa Bungeni lakini isipopelekwa ni madhambi” Soma Pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta taifa pamoja na kiongozi wa upinzani yuko gerezani Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 1, 2026 #2 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 1, 2026 #3 Akili huja baada kuondoka kwenye mfumo.