Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Prof Bisanda amesema wanakumbana na changamoto ya Bodi ya Mikopo Kutowatambua wanafunzi wa Chuo hiko, hivyo hutoa mikopo kwa wanafunzi wachache ambapo kwa mwaka huu wametoa mikopo kwa watu saba tu.
Amesema gharama inayotumika kusomesha wanafunzi watatu katika vyuo vya kawaida inaweza kusomesha wanafunzi watano chuo kikuu Huria.
Ameiomba wizara ya elimu kuangalia namna ya kuwapa mikopo wanafunzi hao kwa kuwa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni chuo namba moja kwa ubora Afrika.