Elections 2010 Prof Chemponda naye kuwania uspika

Elections 2010 Prof Chemponda naye kuwania uspika

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Aliyekuwa muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Alec Chemponda naye amechukuwa fomu ya kuwania uspika.
 
nadhani aliwahi sema miaka ya tisini kuwa ametokewa na YESU(labda niwe nimechukua file lingine)
 
Wadau naomba mnihabarishe. Hivi kugombea uspiks lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa au unaweza kuingia kama independent candidate? Au lazima iwe kama ubunge na urais yaani lazima uwe kwenye chama fulani?
 
Back
Top Bottom